2 Oct 2025 1:12 pm | Citizen TV 260 views Duration: 1:45 Wanafunzi wa chuo kikuu cha TUM jijini Mombasa wametoa makataa ya saa 24 kwa wizara ya elimu kutafuta mwafaka kuhusu mgomo wa wahadhiri unaoendelea.