9 Sep 2025 1:17 pm | Citizen TV 7,564 views Duration: 50s Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Meru wameandamana na kufunga Barabara Kuu ya Meru kwenda Maua, wakilalamikia Ukosefu wa Usalama Kwenye Maeneo ya Makaazi yao.