Wanafunzi kote nchini wanaendelea kuripoti kwenye shule zao mbalimbali za upili katika siku ya pili tangu zoezi la usajili ling’oe nanga. Hatahivyo, licha ya zoezi hilo kufanyika bila matatizo katika baadhi ya shule, wazazi wameibua hofu kuhusiana na hitilafu kwenye mahitaji yaliyoorodheshwa katika barua za mialiko kutoka kwa serikali na shule husika. Baadhi ya wanafunzi hatahivyo bado hawajapata nafasi kwenye shule yoyote ya upili.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive