Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wa Kenya kuwakilisha taifa huko Singapore katika mashindano ya kuunda roboti

  • | Citizen TV
    781 views
    Duration: 2:26
    Baadhi ya wanafunzi kutoka Kenya waliofuzu kwenye mashindano ya kuunda roboti watawakilisha Kenya katika mashindano ya kimataifa yanayofanyika Singapore. Maxwell Karanja, mwanafunzi aliyelelewa katika makao ya watoto ya Sprouting Kitengela Kaunti ya Kajiado , ni miongoni mwa wanafunzi waliochaguliwa kusafiri hadi Singapore kushiriki mashindano hayo.