Wanafunzi kutoka kituo cha mafunzo kilichoko Malindi kaunti ya Kilifi, wamekuwa kwenye mstari wa mbele katika kupambana na uchafuzi wa fuo. Kupitia kwa klabu ya eco, wanafunzi hao wameanzisha mradi kabambe wa kuweka mapipa maalum ya kuweka taka za plastiki kwenye eneo la ufuo wa Watamu na hifadhi ya bahari ya Malindi. Watetezi hao wa mazingira wana imani kwamba mradi huu utarejesha umaridadi wa ufukwe jinsi ulivyokuwa zamani, changarawe pamoja na maji yake safi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive