Wanafunzi wa madarasa mawili tofauti wasomea chumba kimoja katika Shule ya Msingi ya Bora Imani Lamu

  • | Citizen TV
    366 views

    Changamoto ya uhaba wa madarasa katika shule ya msingi ya Bora Imani kaunti ya Lamu imewalazimu baadhi ya wanafunzi kusomea nje. Baadhi ya wanafunzi wa madarasa tofauti wanasomea katika chumba kimoja.