Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wa shule maalum ya Katangi wapokea msaada

  • | KBC Video
    95 views
    Duration: 1:19
    Shule ya wanafunzi walio na mahitaji Maalum ya Katangi katika Kaunti ya Machakos ilipokea msaada wa chakula, mavazi, na bidhaa za kimsingi kutoka kwa wanafunzi na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha South Eastern (SEKU). Mchango huo ambao ni sehemu ya uhisani kwa jamii ulilenga kushughulikia baadhi ya changamoto zinazowakabili wanafunzi wa shule hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive