30 Sep 2025 1:34 pm | Citizen TV 918 views Duration: 1:46 Wanafunzi wa shule ya upili ya Litein kwa mara nyingine tena wamerejeshwa nyumbani baada ya kuonyesha ishara ya kuleta vurugu walipogundua kuwa mwalimu mkuu wa shule hiyo bado yupo.