Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wa vyuo vikuu watishia kuandamana iwapo serikali haitatatua mgomo wa wahadhiri

  • | Citizen TV
    673 views
    Duration: 2:26
    Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma humu nchini sasa wanatishia kuandamana iwapo serikali haitatatua mgomo wa wahadhiri unaoendelea kwa wiki tatu sasa. Wanafunzi wanalalamikia kusalia bila masomo kufuatia mgomo huo, huku wakitaka suluhu ya haraka kati ya wahadhiri na serikali