Wanafunzi wahamasishwa dhidi ya mimba za mapema kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    484 views

    Washikadau katika sekta ya elimu eneo la Gusii wanazidi kurai wakenya kutoka ughaibuni walio na chimbuko kutoka Kisii na Nyamira kuungana kufanikisha masomo ya wanafunzi waliotia fora katika mitihani ya kitaifa na wangali na changamoto kutimiza ndoto zao.