18 Aug 2025 7:28 am | Citizen TV 240 views Duration: 1:53 Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali nchini wameiomba serikali kuuangalia upya mfumo wa ufadhili wa wanafunzi wa vyuo vikuu, wakisema una changamoto nyingi na unawanyanyasa wanafunzi kutoka jamii maskini