Wanafunzi washerehekea utamaduni wa jamii zao kajiado

  • | Citizen TV
    72 views

    Wanafunzi wa shule sunnyside iliyoko Kitengelea kaunti ya Kajiado walisheherehekea siku ya utamaduni kwa mbwembwe. Wanafunzi, walimu, na jamii kwa ujumla walipewa nafasi ya kuonyesha utambulisho wao wa kiutamaduni kupitia mavazi, vyakula, lugha, sanaa, na burudani za asili.