7 Oct 2025 10:24 am | Citizen TV 695 views Duration: 1:34 Huku mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma nchini ukiendelea, viongozi wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Laikipia wametishia kujiunga na mgomo huo iwapo serikali haitawajibika kwa kipindi cha saa 72.