- 5,544 viewsDuration: 2:32Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma humu nchini sasa wanatishia kuandamana iwapo serikali haitatatua mgomo wa wahadhiri unaoendelea kwa wiki tatu sasa. Wanafunzi wanalalamikia kusalia bila masomo kufuatia mgomo huo, huku wakitaka suluhu ya haraka kati ya wahadhiri na serikali