6 Oct 2025 7:50 pm | Citizen TV 6,499 views Duration: 1:10 Wanafunzi wawili wa shule ya chekechekea ya Emmanuel New Life Centre iliyoko mtaani Kayole hapa Nairobi wamefariki baada ya kuangukiwa na vifusi vya nyumba jirani iliyokuwa ikijengwa