6 Oct 2025 8:00 pm | Citizen TV 60 views Wanafunzi wawili wa shule ya chekechekea ya Emmanuel New Life Centre iliyoko mtaani Kayole hapa Nairobi wamefariki baada ya kuangukiwa na vifusi vya nyumba jirani iliyokuwa ikijengwa