Wanafunzi wawili wa shule waugua na kulazwa Transmara

  • | Citizen TV
    893 views

    Wanafunzi wawili wa shule ya upili ya Shankoe, eneo bunge la Transmara, kaunti ya Narok wamelazwa hospitalini huku wengine arubaini na watatu wakipata nafuu baada ya mkurupuko wa maradhi kuripotiwa shuleni humo. Kwengineko katika eneo la Chuka Igambang'ombe, kaunti ya Tharaka Nithi, shule ya Mukuuni imefungwa ghafla baada ya wanafunzi 40 kuripoti kuugua.