Wanafunzi wawili wafariki kwa maambukizi ya bakteria katika shule ya upili ya wasichana ya Mukumu

  • | K24 Video
    56 views

    Shule ya upili ya wasichana ya mukumu mjini Kakamega imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya wanafunzi wawili kufariki kutokana na maambukizi ya bakteria usimamizi wa shule hiyo umesema umechukua hatua hiyo ili kuchunguza kiini cha maambukizi hayo inadaiwa kuwa wanafunzi wa shule hiyo wamekuwa wakila chakula ambacho si salama na maji chafu