Wanafunzi wengi huchelewa kufika shuleni Lamu

  • | Citizen TV
    112 views

    Wanafunzi zaidi ya 200 kutoka jamii masikini Kaunti ya Lamu wamepewa baiskeli kutoka kwa mashirika ya kijamii zitakazowapunguzia muda wa kusafiri wanapoenda shuleni