- 89 viewsWaandishi wa habari kutoka eneo la Gusii kwa sasa wanaendelea na msafara wa amani katikati mwa mji wa Kisii kuadhimisha siku ya uhuru wa wanahabari duniani. Maadhimisho hayo pia yakitumika kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa wanahabari hususan wakati taifa linaelekea katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027.