Skip to main content
Skip to main content

Wanahabari wa NTV wavamiwa, kupigwa na kuporwa kamera na simu za mkononi

  • | NTV Video
    2,513 views
    Duration: 4:46
    Wanahabari wa NTV Brigitte Ngana, George Kiiru na Fiona Akinyi wamevamiwa, kupigwa na kuporwa kamera na simu za mkononi kwa nguvu walipokuwa wakipeperusha matangazo ya uchaguzi mdogo wa Ol Kalou, Kaunti ya Nyandarua. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya