Skip to main content
Skip to main content

Wanahabari waadhimisha siku ya radio duniani

  • | Citizen TV
    383 views
    Duration: 2:03
    Wanahabari katika mataifa mbalimbali na humu nchini walisherehekea siku ya redio duniani kwa matembezi ya amani wakishinikiza uhuru wa uanahabari. Aidha wWanahabari katika mataifa mbalimbali na humu nchini walisherehekea siku ya redio duniani kwa matembezi ya amani wakishinikiza uhuru wa uanahabari. Aidha wanahabari waliitaka serikali kufanikisha uhuru huo wa kikatiba. dhamira ya mwaka huu ilikuwa ni utumizi wa akiliunde kwente tasnia ya uanahabari. anahabari waliitaka serikali kufanikisha uhuru huo wa kikatiba. dhamira ya mwaka huu ilikuwa ni utumizi wa akiliunde kwente tasnia ya uanahabari.