Skip to main content
Skip to main content

Wanaharakati nchini na wa Uganda waandamana katikati mwa kupinga kutekwa nyara kwa Kizza Besigye

  • | NTV Video
    1,120 views
    Duration: 1:51
    Wanaharakati nchini na wa nchi jirani ya Uganda wameandamana katikati mwa jiji la Nairobi hii leo kupinga kutekwa nyara kwa Kizza Besigye aliyesemekana kutekwa nyara hapa nchini tarehe 16 Novemba 2024. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya