- 660 viewsDuration: 2:04Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu kutoka kaunti ya Garissa, wamelalamikia ukosefu wa mkalimani katika vituo vya polisi, wakisema inakuwa vigumu kutafsiri taarifa za waathiriwa wa dhulma vya kijinsia, haswa kwa walemavu.