Wanaharakati wa Linda Jamii wapinga uagizaji wa mchele

  • | Citizen TV
    57 views

    Wanaharakati chini ya muungano wa Linda Jamii sasa wanataka serikali kusitisha uagizaji wa mchele kutoka nje ya taifa wakisema hatua hiyo itawaathiri wakulima wa humu nchini. Wanaharakati hao wanasema hatua hiyo inawapa kipaumbele mabwenyenye wanaoleta mchele bila kulipa ushuru ikilinganishwa na wakulima walio na mazao yao na ambao wanatozwa ushuru wa juu humu nchini