Wanaharakati wa masuala ya elimu eneo la magharibi waunga mkono serikali kupinga marufuku ya muguka

  • | NTV Video
    114 views

    Wanaharakati wa Masuala ya Elimu kutoka eneo la Magharibi ya nchi wameunga mkono serikali za pwani kupiga marufuku matumizi na usambazaji wa muguka eneo hilo wakitaka kaunti zote arubaini na saba kufuata mkondo huo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya