Wanaharakati wapania kupunguza kero ya wanyamapori katika kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    382 views

    Wakaazi wa maeneo yaliyo na mbuga za wanyamapori wana jukumu kubwa katika uhifadhi wa wanyama hao. Hili Ni Kulingana na wanaharakati wa uhifadhi wa wanyamapori kutoka kaunti ya Kajiado ambao wamewekeza katika miradi mbalimbali ya kutoa uhamasisho na kuzuia Ongezeko la mgogoro Kati ya wanyamapori na binadamu.