Wanaharakati wasema maandamano Kenya hayakulenga mapinduzi

  • | BBC Swahili
    23,279 views
    Waziri wa Mambo ya ndani wa Kenya Kipchumba Murkomen anasema kuwa maandamano yaliyofanyika katika maeneo tofauti nchini Kenya jana yalikuwa jaribio la mapinduzi. Lakini je, waandamanaji wenyewe wanasemaje?