Wanaharakati wasema wakandarasi hufanya kazi duni

  • | Citizen TV
    71 views

    Wanaharakati katika eneo Lokichogio Turkana magharibi wamejitokeza kulalamikia hatua ya mwanakandarasi mmoja aliyetwikwa jukumu la kuunda vyumba vya bei nafuu vinavyofadhiliwa na serikali ya kaunti katika eneo la Lorus,wakidai amefanya kazi duni