Wanainchi wakabaliana na hatari ya kuathirika kiafya

  • | K24 Video
    130 views

    Mito huwa na umuhimu mkubwa kwa taifa, kufuatia uwezo yazo wa kusambaza maji kwa matumizi ya watu na viumbe wengine. ila inapochafuliwa, inakuwa ni kama ugonjwa. Katika makala maalum ya mito ya sumu watu wanaoishi nyanda za chini za mto Athi, wamelazimika kutumia maji machafu ya mto na kuhatarisha maisha yao, kufuatia uchafuzi unaofanywa katika mji wa nairobi na viunga vyake.