- 75,565 viewsDuration: 28:10Rais wa Guinea-Bissau Umaro Sissoco Embaló amekamatwa na watu wenye silaha siku chache tu baada ya uchaguzi wenye utata ambapo upinzani ulizuiliwa kushiriki. Kundi la maafisa wa kijeshi wamesema wametwaa udhibiti wa Guinea-Bissau. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw