- 969 viewsWanajeshi zaidi ya 300 kutoka Jumuiya ya Kusini mwa Africa, SADC, SAMIRDC wameanza kuondoka mjini Goma, Kivu Kaskazini, baada ya mazungumuzo ya zaidi ya wiki mbili kati ya waasi wa AFC/M23 na serikali mbali mbali. Waasi hao wana washutumu wanajeshi wa Tanzania, Africa Kusini na Malawi kushirikiana na jeshi la Congo, FARDC, kupigana nao. Ripoti ya mwandishi wa VOA, Austere Malivika, DRC. #wanajeshi #jumuiya #SADC #kusinimwaafrika #samirdc #goma #kivukaskazini #tanzania #afrikakusini #malawi #fardc #voaswahili
Wanajeshi wa SADC zaidi ya 300 waondoka kutoka mjini Goma
- - Duniani Leo ››
- - Local news roundup ››
- 16 Jun 2025 - Assassination of Kasipul MP Ong’ondo Were, death of teacher Albert Ojwang’ and ODM’s internal rebellion have shaken the foundation of Ruto-Raila pact.
- 16 Jun 2025 - Many investigations into police killings in Nakuru have stalled, allegedly due to interference or lack of political will.
- 16 Jun 2025 - President Ruto has accused opposition politicians of lacking a national development agenda.
- 16 Jun 2025 - The silent STI threat: Why unseen infections are a growing concern
- 16 Jun 2025 - Hidden knife in the Finance Bill that stabs firms
- 16 Jun 2025 - Security budget balloons while justice starves and protesters bleed
- 16 Jun 2025 - Police explanation of Ojwang's death comes from a familiar past script
- 16 Jun 2025 - Manufacturers warn new rules on alcohol will hurt production
- 16 Jun 2025 - Ojwang final hours: Hospital CCTV footage exposes gaps in police story
- 16 Jun 2025 - Cancer took my health, heartbreak everything else: Leah Wanjiru's silent battle