'Wanamgambo wa RSF walitaka kuniua'

  • | BBC Swahili
    265 views
    Miaka miwili tangu kuanza kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan, BBC imefika katika moja ya miji ya Darfur ikiwemo Geneina ambapo athari za kibinadamu zimekuwa janga kubwa. #bbcswahili #sudan #RSF Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw