Wananchi wa Peru washinikiza kufanyika uchaguzi, waandamana

  • | VOA Swahili
    84 views
    Bunge la Peru limekataa mswaada wa tatu uliowasilishwa katika wiki moja ukitaka maandalizi ya uchaguzi wa mapema yafanyike. Wakati huo huo maandamano yanaendelea kote nchini. Mswaada huo unapendekeza pia kuandaliwa kura ya maoni. Endelea kumsikiliza mwandishi wetu akikuletea hali ilivyo katika mitaa ya Lima wakati waandamanaji wakishinikiza kufanyika uchaguzi... #bunge #peru #mswaada #uchaguzi #maandamano #mswaada #lima #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.