Wananchi waitaka UN kutofumbia macho madai kuwa Rwanda inawasaidia waasi wa M23

  • | VOA Swahili
    1,348 views
    Maelfu ya waumini wa Kikristo wameandamana Jumapili kote nchini DRC kulaani ghasia za kivita zinazofanyika mikoa ya mashariki ya nchi hiyo. Wakati huohuo viongozi wa kanisa wahimiza Umoja wa Mataifa kutofumbia macho madai ya kwamba nchi ya Rwanda inawasaidia waasi wa M23 huku wakiomba mauaji yakomeshwe katika maeneo ya mashariki ya nchi hiyo. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.