Wananchi washinikiza kuusishwa katika maamuzi

  • | Citizen TV
    193 views

    Swala la kutowashirikisha au kuwahusisha wananchi katika Maamuzi na mipangilio ya serikali katika kaunti ya Samburu, linasalia kutatiza maendeleo kwenye Kaunti hiyo. Mashirika ya kijamii sasa yanatoa wito kwa Wananchi kuhusishwa ili kutoa maoni kuhusu Miradi ambayo wangependa yafanywe kipaumbele