Skip to main content
Skip to main content

Wananchi wataka uwajibikaji zaidi katika sherehe za Madaraka Dei

  • | Citizen TV
    117 views
    Sherehe za leo zilisheheni ujumbe wa wananchi kwa serikali wakitaka uwajibikaji zaidi katika kushughulikia changamoto zinazowakumba, ikiwemo kudorora kwa usalama shuleni na katika taifa kwa ujumla. Aidha, suala la ujenzi wa kituo cha karantini ya Ebola lilijadiliwa, huku maswali yakiibuka kuhusu mipango na usalama wake kwa jamii. Baadhi ya viongozi pia walizungumzia hali ya usalama nchini, wakieleza wasiwasi kuhusu matukio ya hivi karibuni yanayoashiria kuongezeka kwa changamoto za kiusalama. Laura Otieno anatupa taswira ya sherehe za Madaraka zilizoandaliwa katika maeneo mbalimbali nchini.