Wananchi watoa maoni kuhusu ushuru

  • | Citizen TV
    237 views

    Wakazi wengi wa kaunti za Isiolo na Bungoma wamepinga mapendekezo ya miswada ya kurekebisha sheria za ushuru. Katika siku ya kwanza ya kutoa maoni ya mapendekezo ya serikali yanayonuia kutafutia shilingi bilioni 178, wakaazi hao wamesema marekebisho haya yatarudisha mzigo wa mswada wa fedha wa mwaka 2024 uliokataliwa.