Wanaoishi karibu na Mto Nzoia wahofia mafuriko

  • | Citizen TV
    512 views

    Kutokana na kufurika kwa Mto Nzoia,wakazi wa maeneo bunge ya Webuye Mashariki na Magharibi hasa katika wadi za Sitikho na Maraka na ambao wanaishi karibu na mto huo wametakiwa kuwa makini kwani huenda wakaathirika pakubwa.