Wanaoishi na virusi vya ukimwi waeleza changamoto bado zipo

  • | VOA Swahili
    111 views
    Bahati Haule anaishi na virusi vya ukimwi. Anasema hali ya huduma ya afya kwa sehemu inatengemaa, japo kumekuwepo changamoto kadhaa ikiwemo dawa za kuzuia magonjwa nyemelezi kutopatikana. Ungana na mwandishi wetu kutoka nchini Tanzania akikuletea repoti kamili kuhusu changamoto nyingine ambazo zinawakabili watu wanaoishi na virusi hivyo. Endelea kusikiliza. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.