Wanaotupa takataka ovyo waonywa Migori

  • | Citizen TV
    70 views

    Kamishna katika kaunti ya Migori Kisilu Mutua na Waziri wa mazingira Awuor Nyerere wametoa onyo Kali kwa wakaazi na wafanyabiashara wanaotupa takataka ovyo ovyo katika kaunti hiyo.