Wanapatholojia wachukua sampuli za mwili wa Jeff Mwathi kubaini iwapo alilawitiwa kabla ya kufariki

  • | K24 Video
    353 views

    Wanapatholojia wamechukua sampuli za mwili wa Jeff Mwathi kubaini iwapo alilawitiwa kabla ya kuaga dunia. Mwanapatholojia wa serikali johansen oduor ambaye aliongoza shughuli hiyo amesema kuwa sampuli zilizochukuliwa pia zitaweza kubaini iwapo jeff alipewa dawa za kumpoteza fahamu . Haya yamefuata baada ya Inspekta Jenerali wa polisi Japheth Koome kuamrisha mwili ufukuliwe na uchunguzi uanzishwe upya