Wanariadha walenga dhahabu kwenye michezo ya Olimpiki ya Paris

  • | Citizen TV
    720 views

    Wawakilishi wa Kenya kwenye michezo ya olimpiki jijini Paris mita 800 wameahidi kuiga mashujaa wa michezo ya olimpiki ya Beijing ya mwaka wa 2008 ambapo Pamela Jelimo na Wilfred Bungei walishinda dhahabu katika mbio hizo za mizunguko miwili