Skip to main content
Skip to main content

Wanasayansi wagundua Sayari ya ajabu

  • | BBC Swahili
    14,653 views
    Duration: 1:39
    Wanasayansi wamegundua kitu kisicho cha kawaida sana katika mfumo wa sayari unaozunguka nyota iitwayo LHS 1903. Mfumo wa LHS 1903, unaonesha dalili za muundo au mienendo isiyo ya kawaida jambo linaloweza kusaidia wanasayansi kuelewa zaidi jinsi sayari zinavyoundwa na kubadilika kadri muda unavyopita. Beldeen Waliaula anaelezea zaidi #bbcswahili #sayansi #sayari Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw