Wanasiasa wa eneo la Magharibi watakiwa kushirikiana zaidi huku siasa za mapema zikikemewa

  • | Citizen TV
    377 views

    Wanasiasa kutoka eneo la Magharibi wamehimizwa kushirikiana pamoja na kuacha siasa za mapema ili kuwafanyia kazi wananchi. viongozi hao wamewakashifu Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi na Spika wa Bunge la kitaifa Moses Wetangula kwa kutoongoza vyema jamii ya Magharibi na kusababisha viongozi wa eneo hilo kukosa matumaini ya kufanya kazi pamoja