Mwanamuziki nyota wa Pop Katy Perry na wanawake wengine watano walisafiri hadi anga za mbali kwa roketi ya Jeff Bezos kwenda kutalii tu kwa muda wa dakika 11
Katika tukio la kihistoria lililotikisa dunia, roketi ya New Shepard ilirushwa kutoka Texas, Marekani, ikiwa imebeba kundi la kwanza la wanawake pekee kufika angani tangu mwaka 1963.
Ingawa Blue Origin haijatoa bei kamili za tiketi lakini kiasi cha $150,000 kinahitajika ili kuhifadhi kiti ikionesha upekee wa safari hii ya kutalii angani
Vipi unaweza kwenda kwenda kutalii angani?
Asaha Juma anaelezea zaidi
#bbcswahili #angazajuu #roketi
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
21 Apr 2025
- Embakasi East Member of Parliament (MP) Babu Owino has suggested a potential joint presidential bid in 2027 with his Kiharu counterpart Ndindi Nyoro.
21 Apr 2025
- A number of people are feared dead after a septic tank collapsed beneath a local football viewing hall in Bamburi Mwisho area, Nyali Constituency, Mombasa County.
21 Apr 2025
- The anti-terror and other tactical security teams have been strategically deployed at various undisclosed locations within the region to beef up security.
21 Apr 2025
- The Kenya National Chamber of Commerce and Industry (KNCCI) has long styled itself as the voice of the private sector, but ask any serious entrepreneur or business owner about its impact and you’ll likely be met with a shrug. For an organisation that’s…
21 Apr 2025
- For the first time ever, humanoid machines competed on a long-distance track alongside human runners, blurring the boundaries between athletics and innovation. This unprecedented event signals a new chapter in robotic intelligence and design.