Wanawake Kajiado wamezamia kilimo cha vyakula

  • | Citizen TV
    216 views

    Wanawake kaunti ya kajiado wamezamia kilimo cha vyakula mbalimbali na uvunaji wa maji ili kujihakikishia utoshelevu wa vyakula nchini. Kikundi moja la Wanawake kutoka Ildalalekutuk kajiado ya Kati, limeanza safari ya kukuza mboga ili kuweza kulisha jamii na kukabili njaa ya mara kwa mara Kajiado.