Skip to main content
Skip to main content

Wanawake na vijana Kajiado wapewa mafunzo ya kilimo na ufugaji

  • | Citizen TV
    213 views
    Duration: 3:08
    Wanawake na vijana kutoka Kaunti ya Kajiado wamepewa mafunzo kuhusu mbinu bora za kilimo na ufugaji, katika juhudi za kuongeza uzalishaji wa chakula na kuboresha maisha ya wakulima na wafugaji.