- 199 viewsDuration: 1:12Wanawake wa wafanyabiashara ndogondogo jijini Nairobi waitaka serikali kulinda haki ya wananchi wapiganiao uwajibikaji katika masuala ya utawala nchini, wakidai kuwa vitisho,na unyanyasaji dhidi ya watetezi hao wa haki vinazidi kuongezeka nchini.Wakizungumza jijini Nairobi, wanawake hao wasema vitendo hivyo vyadhoofisha uwajibikaji na kuwanyima wananchi fursa ya kudai uwazi katika matumizi ya rasilimali za umma ..