Skip to main content
Skip to main content

Wanawake nguli 5 waliobadili dunia kupitia teknolojia

  • | BBC Swahili
    2,868 views
    Duration: 1:53
    Licha ya wanawake kuunda asilimia 29.2 pekee ya nguvu kazi katika fani za Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM) kote duniani, historia inathibitisha kuwa mchango wao katika uvumbuzi hauwezi kufutika. Isabella Kituri anaelezea watano nguli ambao wamebadili dunia kupitia teknolojia #bbcswahili #wanawake #teknolojia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw